Msaada wa hii window tafadhari!

Msaada wa hii window tafadhari!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau natumia laptop hp compaq presario q 40 nilikuwa natumia window(vista busnes) ikakorupt kwa sasa fundi kaniwekea WINDOW 7 HOME BASIC Inagoma kutumia baadh ya program kama vlc na pia kwenye housing kuna kibandiko cha Window vista basic je nifanyaje na fund anadai vista sio nzuri!
 
Hahaaa fundi banakwani wewe uko wapi unaishi? Mi ningekushauri utumie window XP, komaa na huyo fundi akuwekee hiyo XP, W7 ni kama Vista tu, full miyayusho ingawa ina graphics nzuri. Najua ukimwambia akuwekee Linux mbio zitamsaidia.
 
mwambie akuwekee window xp service pack 2 ndo itakufaa.
 
Kipindi anaanza anasema aliweka xp loyal akasema vga na sound ziligoma laptop yangu ina ram ya 2gb na procesor ya 1.6 kwahyo kwa uhakika ipi itakubali hizo vga kwasab hii 7 home basic ndio kama hv program kama vcl tu ni ishu!
 
mwambie akuwekee window xp service pack 2 ndo itakufaa.
Kwani akiwekewa winodw XP sp3 au Winows 7 ina tatizo gani?

Windows XP sp3 ndio latest secure na sio SP2

Na kama Windows vista ilikuwa inafanya kazi vizuri basi hata windows 7 inatakiwa kufanya kazi bila shida Integemea huyo fundi waoe nini anajua na nini hajui kuhuus OS na hardware.


Kama mashine yako ina atleast I GB RAM na 1 GHz CPU speed then hakuna shida kwenye windows 7


Program kama VLC inasumbua nini kwenye windows 7? Download na install latest na official version ya VLC
 
kipindi anaanza anasema aliweka xp loyal akasema vga na sound ziligoma laptop yangu ina ram ya 2gb na procesor ya 1.6 kwahyo kwa uhakika ipi itakubali hizo vga kwasab hii 7 home basic ndio kama hv program kama vcl tu ni ishu!

aache uhuni mwambie akuwekee xp, hayo masound ,vga...yanapatika kwa auto update internet
 
Kama ilikuwa na wn vista inatakiwa kukubali wn 7 bila shida. Ninamashaka na fundi wako.
Mwambie akurekebishie, sikushauri XP dunia inasonga mbele, imeanza kupitwa na wakati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom