Wadau kuna mtu kakoroga laptop yangu ni kwamba screen yangu ilikuwa imekuwa black kwa vile window haikuwa Genuine! fundi kaenda kuniwekea window ila alipomaliza nilipofika home program zangu kama window2013! lates hakuna ktu kaniwekea 2003! nipo mbali naye. Msaada plz!