Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,917
- 2,057
naomba msaada jinsi ya ku Update browser kama text inavyosema, sijui nianzie wapi, nliuliza google wanasema ni Update google play, ambaye ana utaalam wa hiyo kitu
browser gani hio unayotakiwa kui update? zina majina hizo browser.
nimefungua file katika g mail ikan direct katika opera mini lakini fail halifunguki inaniambia ni update wakati operamini nilisha update