mzee wa mazabe JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 843 Reaction score 628 Jul 27, 2017 #21 MotoYaMbongo said: Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake. Click to expand... Tehe tehe tehe watu wanapata tabu sana na hizi smartphone wanaosema ni wachache sana
MotoYaMbongo said: Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake. Click to expand... Tehe tehe tehe watu wanapata tabu sana na hizi smartphone wanaosema ni wachache sana
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Jul 27, 2017 #22 MotoYaMbongo said: Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake. Click to expand... bora ahamie kwenye brand pendwa( tecno) brain is the beautiful part of the body.
MotoYaMbongo said: Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake. Click to expand... bora ahamie kwenye brand pendwa( tecno) brain is the beautiful part of the body.
MotoYaMbongo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,146 Reaction score 887 Jul 27, 2017 #23 Kibajajitz said: Ni nadra mkuu sio kwamba hazina kabisa matatizo. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Basi hata tecno sio zote zenye tatizo.
Kibajajitz said: Ni nadra mkuu sio kwamba hazina kabisa matatizo. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Basi hata tecno sio zote zenye tatizo.
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,813 Reaction score 5,522 Jul 27, 2017 #24 MotoYaMbongo said: Basi hata tecno sio zote zenye tatizo. Click to expand... Justification! justification! Njaa yako di ya bakhresa wewe una njaa mwenzako ana hamu ya togwa hajalionja miaka mingi! MotoYaMbongo said: Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
MotoYaMbongo said: Basi hata tecno sio zote zenye tatizo. Click to expand... Justification! justification! Njaa yako di ya bakhresa wewe una njaa mwenzako ana hamu ya togwa hajalionja miaka mingi! MotoYaMbongo said: Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,566 Jul 27, 2017 #25 Kibajajitz said: Nikisha download naset kitu gani mkuu?au naandika kitu gani hapo kwenye setting Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kama sjakosea ni 480 kwa simu za full HD
Kibajajitz said: Nikisha download naset kitu gani mkuu?au naandika kitu gani hapo kwenye setting Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kama sjakosea ni 480 kwa simu za full HD
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jul 27, 2017 Thread starter #26 Chief-Mkwawa said: kama sjakosea ni 480 kwa simu za full HD Click to expand... Hahahaha thanks mkuuu imekubali kwa 480.kumbe ilijiweka 320.nikaweka 480 then nikaaply na kureboot kitu kikakubalii. asanteeeeeeeeeeeeee sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Chief-Mkwawa said: kama sjakosea ni 480 kwa simu za full HD Click to expand... Hahahaha thanks mkuuu imekubali kwa 480.kumbe ilijiweka 320.nikaweka 480 then nikaaply na kureboot kitu kikakubalii. asanteeeeeeeeeeeeee sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Jul 27, 2017 #27 daudthefarmer said: bora ahamie kwenye brand pendwa( tecno) brain is the beautiful part of the body. Click to expand... Zina matatizo lakini yanataturika hata ukigoogle unapata msaada haraka kwenye forums kuliko tecno unagoogle unaambulia patupu. Siyo kwamba brand nyingine za gari mbovu ila kwa tanzania toyota ndiyo ina spares nyingi na mafundi wanazijulia.....
daudthefarmer said: bora ahamie kwenye brand pendwa( tecno) brain is the beautiful part of the body. Click to expand... Zina matatizo lakini yanataturika hata ukigoogle unapata msaada haraka kwenye forums kuliko tecno unagoogle unaambulia patupu. Siyo kwamba brand nyingine za gari mbovu ila kwa tanzania toyota ndiyo ina spares nyingi na mafundi wanazijulia.....