msaada wa hii kitu DATA USAGE WARNING ktk android

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
naomba mnisaidie, natumia galaxy tab 2, sasa hii kitu imekuja inaweka warning, nashindwa nifanye ninii ili niitoe. naomba msaada wenu.
natanguliza shukrani
 
Uliiset mwenyewe kwenye hizo application za security ulizo download. Yaani umeweka limit ya data umbayo unataka utumie kwa mwezi. So hizo mb zikifika inakukumbusha. Hiyo alama ikija iclick uset upya. Unaweza iweka off pia.
 
drag ule mstari mwekundu peleka juu utaona limit ya data inaongezeka pelka gb kama 90 hautasumbuliwa tena
 
Uliiset mwenyewe kwenye hizo application za security ulizo download. Yaani umeweka limit ya data umbayo unataka utumie kwa mwezi. So hizo mb zikifika inakukumbusha. Hiyo alama ikija iclick uset upya. Unaweza iweka off pia.

shukran mkuu, tatzo limekwsha na nimeioff hyo ktu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom