Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
kinApatikana wapi....kinaitwaje...na bei ake plsPole. Chukua kifaa hiki changanya manukato then weka ndan. Kinatumika kama air fresher ni kizur. Njoo PM chap View attachment 1229445
kinApatikana wapi....kinaitwaje...na bei ake plsPole. Chukua kifaa hiki changanya manukato then weka ndan. Kinatumika kama air fresher ni kizur. Njoo PM chap View attachment 1229445
HAPO TATIZO NI FUNDI ALUYEKIJENGEA CHOO HAKUTUMIA PIMAMAJI HIVO KIMELALA NA SEAL NI KIDOGO NA UKURUHUSU HEWA YA MFUMO WA MAJITAKA KURUDI NDANI. Chunguza na dawa kama ni cha kuchuchumaa nunua kingine na kuvunja hicho.Nilishakutwa na tatizo hilo,.Maji yanaweza kuwepo, tatizo ni, yanakua hayajafikia level inayotakiwa.
Harufu itakua palepale.
Thanks, nilishahama hata ivo.HAPO TATIZO NI FUNDI ALUYEKIJENGEA CHOO HAKUTUMIA PIMAMAJI HIVO KIMELALA NA SEAL NI KIDOGO NA UKURUHUSU HEWA YA MFUMO WA MAJITAKA KURUDI NDANI. Chunguza na dawa kama ni cha kuchuchumaa nunua kingine na kuvunja hicho.
how much mkuuPole. Chukua kifaa hiki changanya manukato then weka ndan. Kinatumika kama air fresher ni kizur. Njoo PM chap View attachment 1229445
Nunua hichi, vipo vingi madukani/supermarket.kinApatikana wapi....kinaitwaje...na bei ake pls
umejaribu kuoga.?
mkuu umenikumbusha mbali sana miaka ya 2000's mwanzoni shangazi yangu alipanga chumba huko mkoani Tanga lakini kumbe kile chumba kilikua choo, kikafanywa kuzibwa tu .....bwana bwana siku ya siku ngoma ikajibu mpaka ndani bahati nzuri aliwahi okolewa daahHilo geto kabla lilikuwa choo baada ya kuona hela yako wamegeuza chumba

mtake radhi kuna majani fulani ni sheeda isikute anakuwekea daily 
Yesuu daahmkuu umenikumbusha mbali sana miaka ya 2000's mwanzoni shangazi yangu alipanga chumba huko mkoani Tanga lakini kumbe kile chumba kilikua choo, kikafanywa kuzibwa tu .....bwana bwana siku ya siku ngoma ikajibu mpaka ndani bahati nzuri aliwahi okolewa daah

Hakuwashtaki hao mafalaa
. Karibu mujini Kaka hapa tunahitaji AKILI TU tabia tunagawa bure.Ukipatajibu uni TAGBado sijakuelewa. Unatofautishaje harufu ya mavi mabichi na makavu?
Hapo tatizo ni mfumo wa kutoa hewa chafu kutoka kwenye chemba kubwa haupo au umeziba ndio maana hewa inarudi chooni na kujaa chumbani.