MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 12, 2017 #1 Habari za mchama huu wana jamvi...... Naomba msaada juu ya simu ya Itel 1351, nimeiblok kwa kukosea kuingiza paten mara nyingi kimakosa, Hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kufanya Hard reset anisaidie, Asanteni
Habari za mchama huu wana jamvi...... Naomba msaada juu ya simu ya Itel 1351, nimeiblok kwa kukosea kuingiza paten mara nyingi kimakosa, Hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kufanya Hard reset anisaidie, Asanteni
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,026 Dec 20, 2017 #2 Ulifanikiwa