Msaada wa Haraka

MpiganajiWetu

Senior Member
Dec 20, 2012
107
0
Dokt, kwanza heri ya mwaka mpya. Kuna jamaa yangu wa karibu sana ana mke wake zaidi ya miaka 4 sasa, mwezi ulopita walienda clinic wakaambiwa kupima HIV matokeo yakaonesha wife ni anao na jamaa hana, kaambiwa arudi baada ya wiki 3 alipoenda kuchek tena majbu yakaonesha kuwa hana. Sasa hapo Dokt msaada wako wa haraka wahtajika wa nin kifanyike? Wife wake kashaanzishiwa dozi. Tafadhali.
 

Oyono

JF-Expert Member
Sep 9, 2013
222
195
Ushauri ni kwamba waende kupima kwenye hospitali kama 5 tofauti ili kuhakiki make hawa madoctor we2 nao huwa wanamatatizo yao!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom