Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Hapo kwenye kutengeneza panakuwa pagumu powa nakshukuru sana umenisaidia sana

ugumu wa kutengeneza upo wapi? si just 2 step?

format flash yako kwa ntfs halafu extract mafile ya window kwenye flash bas kazi imeisha
 
unapowasha fast press (crt +alt+f5)au(crt+alt+del) itakuletea menu yenye safe mode na kuendelea chagua safe mode mengine utaendelea hapo hapo
 
Back
Top Bottom