Straight to the point, tab yangu inaonesha ina run outta space, ukicheck hapa apps ndio zimechukua nafas kubwa na sina apps za kutisha. What should I do??
Kama WhatsApp unatumia Sana ingia file manager then folder la WhatsApp then media, kote kwenye WhatsApp pictures na video utaona folder la sent, wanahifadhi vitu ulivyotuma pia, ukivifuta unaweza pata storage ya maana.
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu umenisaidia. Ni!eclear cache za apps mbalimbali nimegain space. Maajabu ni kwamba nimekuta chrome app data ni 4.7GB wakati siitumii mara kwa mara, mara nyingi natumia uc browser