Jitokeze mwenyewe huko, kama haishi na wazazi wake huo ni uonevu maana hata kama kakosea walitakiwa kukutafuta wewe hatua ya kwanza....nenda onesha msimamo wako juu ya uhusiano wenu
Demu ni mdudu gani? Bibie yupo na wewe mwaka hebu mpe heshima yake, wewe nenda polisi na kiswahili chako hicho cha kisela ulale selo na card +simu Usipate. Ushauri wangu kwako tafuta wazee yaani walio kuzidi umri waende kuongea nao hao walio muweka polisi kwanza ili ujue kule polisi walienda kuongea kitu gani maana naona kesi haina kichwa wala miguu.Habari za mida hi wanajukwaa
Naaandika uzi huu nikiwa na majonzi tele nikiwa sina ata chembe ya usingizi.
Ipo hivi kuna dem wangu nimedate nae takribani mwaka mmoja sasa hapa juzi kati nikawa naenda kwenye mishe mishe za kutafuta nikaona kwakua tunaaminiana nikamuachia cad yangu ya bank(hajui no ya siri) ikiwa ni pamoja na kitechno changu cha tachi.
Sasa leo nikiwa nipo kwe mihangaiko ya kuchuma ili baadae nije kula nae ile kumchek asubui akawa hajibu txt nikaona labda atakua kaingiwa na pepo. Baadae akaja akapiga lakin hakua yeye alikua mwanae ( mtoto wa dada ake) akawa ananiambia kua mama mdogo kapelekwa polis kisa cad yangu ya bank pamoja na smatphone nilompa akanisisitizia kua endapo nikipigiwa na no ngeni nisipokee.
Basi maongezi yakaishia apo kwa maana na yeye alijiiba pasipo kujilikana ili anipe taarifa na alompeleka uko polis sio.dada ake bali ni shemegi ake.
Sasa nawaza mtt wa watu anateseka bila kosa lolote na aliapa hatosema mimi ni nan ata ikiwaje sasa apa namaswali kadhaa kichwan
1.je kuwa na cad ya benki ni kosa ambalo mzazi anaeza kupeleka nalo polis au huyo shemeg ake hampend?
2.je dada ake karidhia kupelekwa kwake polis au nae kakubali kisa mme wake kaongea
3.je ni fact zip nazoweza kuenda nazo polis kujitetea ili nimtoe dem wangu hatian na mm pia nitoke. Kama ikifel atoke wa kike nibaki mimi kidume
Nawasilisha wadau naomba msaada wenu wa mawazo maana asubui nataka nijitoe ufaham nitimbe central
Mods naombeni wekeni huu uzi kwenye jukwaa husika. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitokeze mwenyewe huko, kama haishi na wazazi wake huo ni uonevu maana hata kama kakosea walitakiwa kukutafuta wewe hatua ya kwanza....nenda onesha msimamo wako juu ya uhusiano wenu
Demu ni mdudu gani? Bibie yupo na wewe mwaka hebu mpe heshima yake, wewe nenda polisi na kiswahili chako hicho cha kisela ulale selo na card +simu Usipate. Ushauri wangu kwako tafuta wazee yaani walio kuzidi umri waende kuongea nao hao walio muweka polisi kwanza ili ujue kule polisi walienda kuongea kitu gani maana naona kesi haina kichwa wala miguu.
Huyu anaonekana hata kujieleza hajui ataenda kuwekwa lokapu aende na mtu alie mzidi umri na anaweza kujieleza au kumuelekeza nini aongee akifika pale.Jitokeze mwenyewe huko, kama haishi na wazazi wake huo ni uonevu maana hata kama kakosea walitakiwa kukutafuta wewe hatua ya kwanza....nenda onesha msimamo wako juu ya uhusiano wenu
mwisho wa kesi utaanza pale tuu ..utakapoamua kwenda.. ingawa itacost muda ,na fedha kiasi ila itakwisha
Kwa hiyo wewe huna mahusiano mazuri na hao wenyeji wako unao ishi nao hapo, jamii unayo ishi nayo hapo hamna mzee akusaidie hiyo ni kesi ya kifamilia mkuu lazima ianzie nyumban kwanza kama hakuna muafaka uende huko polisi kudai simu na cardShida mkuu dem yupo nilipokua nasomaga chuo so amna mzee naemjua uku
Sent using Jamii Forums mobile app
Utoto mwingi. Umemrekebisha kuhusu namna anavyomwita mpenzi wake, amekujibu kwa lugha ile ile.Huyu anaonekana hata kujieleza hajui ataenda kuwekwa lokapu aende na mtu alie mzidi umri na anaweza kujieleza au kumuelekeza nini aongee akifika pale.
We muache anawajua polisi wale wanaangalia kwanza mavazi yako, kauli zako n. k hivyo vitu ni haki yake kuvipata ila akienda kisela ana vikosa vyote.Utoto mwingi. Umemrekebisha kuhusu namna anavyomwita mpenzi wake, amekujibu kwa lugha ile ile.
Kwa hakika akienda yeye mwenyewe (peke yake) huko central, nae atawekwa ndani. Maana watamuona mhuni