Msaada wa haraka wana mmu

sibagui wala sichagui, chochote kitakachotokea

Lol, anza kupunguza kiwango cha unywaji....Kama unakunywa bia 10 kwa siku punguza nusu lita kwa siku,kama ni whisky punguza robo lita kwa siku halafu kwa maisha plus endelea kutumia for your own risk.
 
Ule muda wa kinywaji nenda kafanye mazoezi na kwa kuwa unatarejea ukiwa umechoka basi utafika home na kulala kiasi kwamba ukiweza fanya one week utakuwa umesahau pombe
 
Kama uko Dar, nilisikia pale Bahai Center huwa wanaendesha program za AA na SLAA, unaweza kupitia hapo kusikia program zao zikoje.

AA = Alcohol Anonymous
SLAA = Sex and Love Addicts Anonymous

Unawachokoza, ngoja wakushukie kama mwewe
 
Pamoja na maoni yote waliokupa wadau ningeshauri hivi: Kitu chochote hata ulevi ukishaweka katika akili kwamba unataka kuacha, utaacha. You just have to put your mind and soul to it. na uwe unamaanisha kweli kwamba nataka kuacha ulevi. hapo unakuwa umeshinda majaribu. ukifanya hivyo na kuchanganya na mambo mengine kama ulivyoshauriwa kuhusu mazoezi au marafiki wasio walevi au kishughuli chochote kitakachoku-keep occupied basi ndani ya muda mfupi tu utafanikiwa. Kila la kheri
 
Kama uko Dar, nilisikia pale Bahai Center huwa wanaendesha program za AA na SLAA, unaweza kupitia hapo kusikia program zao zikoje.

AA = Alcohol Anonymous
SLAA = Sex and Love Addicts Anonymous

hiyo bahai center iko wapi?
unajua watu wanafanya utani lakini nipo siriaz kwa kweli nataka kuacha kabisa hii kitu.
hivi hapa nilipo tayari nahisi nahitaji kileo.
 
Lol, anza kupunguza kiwango cha unywaji....Kama unakunywa bia 10 kwa siku punguza nusu lita kwa siku,kama ni whisky punguza robo lita kwa siku halafu kwa maisha plus endelea kutumia for your own risk.
tatizo nikishakunywa moja ndo nakuwa nimefungulia
 
Ule muda wa kinywaji nenda kafanye mazoezi na kwa kuwa unatarejea ukiwa umechoka basi utafika home na kulala kiasi kwamba ukiweza fanya one week utakuwa umesahau pombe
tena mara nyingi nikichoka ndo nakua na kiu kikali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom