Msaada wa haraka wa tshirts

Msaada wa haraka wa tshirts

MOSHIZZLE

Member
Joined
Feb 17, 2010
Posts
79
Reaction score
11
Wakuu habari za leo, hope muwazima. Nilikuwa naomba kuulizia kama kuna mwenye kufahamu wapi na kwa bei gani naweza kupata tshirts nyeupe, kwaajili ya kufanya printings? Nataka kununua kwa ujumla kwa wingi. Nashukuru kwa msaada wenu.
 
Kacheki kariakoo km upo dar
Zpo za bei chee depending on size
 
Wakuu habari za leo, hope muwazima. Nilikuwa naomba kuulizia kama kuna mwenye kufahamu wapi na kwa bei gani naweza kupata tshirts nyeupe, kwaajili ya kufanya printings? Nataka kununua kwa ujumla kwa wingi. Nashukuru kwa msaada wenu.

Tunazo.
Kama unataka mzigo mkubwa, tupe sample yako ili tujue quality ya t-shirt unayotaka.

Pamoja
 
Nenda k.riakoo ulizia t.shirt plan za manga ni nzuri
 
tunazo.
Kama unataka mzigo mkubwa, tupe sample yako ili tujue quality ya t-shirt unayotaka.

Pamoja
nahitaji high quality tshirts, unaweza kuanza na hiyo aliyo ainisha mkuu hapo chini. 65cotton manga. Thanks
 
  • Thanks
Reactions: G12
tunazo
bei zetu ni karibu na bure na zinaendana na ubora 3250-8254/= kwa moja
karibu sana kijana MOSHIZZLE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom