Msaada wa haraka Unlimited-internet ya Halotel.

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,971
Reaction score
14,533
Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed. Naomba msaada Wadogo zangu.
 
kwa sababu umeomba msaada kwa wadogo zako ngoja nipige kimya coz mimi mkubwa wako
Wakuu natumia huduma za halotel naombeni msaada Wanasema kwa TZS. 999/= unapata 600MB za (KASI) mliowahi kutumia baada ya Kuisha hizo 600MB Speed ina drop around ngapi (I mean Downloading Speed. Naomba msaada Wadogo zangu.
 
bonyeza *148*55# unapata MB 600 Kwa TSH 500 tu week nzima
 
jiunge cha kawaida hiki kinazingua tu hakuna lolote zikiisha hizo 600 inakua slow slow sana.
 
Back
Top Bottom