Msaada wa haraka unahitajika

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
Ndugu zangu hivi ukitaka kuchati online unafanya je? Nami natamani sana kuchati online, hivi vi pm vimenichosha. Mwenye maujanja ayamwage hapa tuenjoy pamoja. Wikiendi njema.
 
Dah! hilo nalo neno, kumbe 2po wengi 2naotamani, jamani wataalamu wa masoftware watusaidie.
 
Nendeni facebook au global publisher halafu msitusumbue tena na maswali yenu. Hivi nyie mna miaka mingapi mmeweza kuingia jf halafu hamjui mitandao ya kuchati
 
Nendeni facebook au global publisher halafu msitusumbue tena na maswali yenu. Hivi nyie mna miaka mingapi mmeweza kuingia jf halafu hamjui mitandao ya kuchati

kama hujui ni bora unyamaze tu. Wenye busara watamwaga tu maujanja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom