Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,905
- 31,686
Anajiendekeza tu.Msiwe na roho mbaya enyi walimwengu kama unaweza msaidia basi toa msaada upite uende huyu nae ni mwanadamu anapokwama ni sawa kabisa kuja hapa madhabahuni kuomba msaada tuwe waungwana.
Watu 40,mkimchangia 10,000 kila m'moja atapata hilo hitaji lake hebu tuwage na huruma muda mwingine.
Halina shida sawa ila tunataka kujiaminisha kama tunachati na aliyekufa kweli au died maanake ni nini.
AhsanteAnajiendekeza tu.
Kuna watu wanashida tena shidwa haswa hiyo ya kwake cha mtoto.
I can feel u...pole..! Ila .....hatuanzagi utata Kama nyie sio watata...lazima Kuna kitu behind ..anywys pole sanaAmeondoka na kila kitu kilichokuwa ndani kaacha baadhi ya nguo zangu,
Khaa..angekuwa ke hapa angeshapewa hela..muoneeni huruma...na hayo ndo yanafanya mahusiano yawe more strong..bibie atarudi tuKwani saivi kumwezesha kumekoma.?
Hujapoteza kitu, hizo ‘pesa’ zilizokuwa ndani haziwezi kuwa nyingi mno... endelea kupambana na kumsaidia mama na mwanao.
Mkeo atarudi baada ya muda si mrefu, kwani hujui sababu ya kukimbia.?
Kama limekukera hilo jina ,Jamani hivi mnajiita majina gani hayo? eti Died
HhhahhahahaMimi pia nimekimbiwa, naomba nije unilee!
Wanawake TUNAWEZA!😆Hivi nyie mnajua wanawake anabeba everything yaani anakuachia uwanja wa mpira tu mbk vest anakuvua hapo kashakuchoka.Msaidieni mwanaume mwenzenu jamani.Ningekua ht na elf10 ningekupa wallahi nafsi imeniuma km kweli hutudanganyi na km unadanganya Mungu atakulipa
Hakuna MTU aombaye matatizo ya mkute,Hivi nyie mnajua wanawake anabeba everything yaani anakuachia uwanja wa mpira tu mbk vest anakuvua hapo kashakuchoka.Msaidieni mwanaume mwenzenu jamani.Ningekua ht na elf10 ningekupa wallahi nafsi imeniuma km kweli hutudanganyi na km unadanganya Mungu atakulipa
Ahsante kwa ushauriWatu wa humu daah!msaidieni jamani kaka ukishindwa niletee nilee huyo mtoto miye.Ila masharti tusitongozane.
Ahsante kwa somo lako,nimekuelewa...Yani mwanaume mzima na una mtoto unaweka pesa zote ndani, hapo umedanganya hakuna mwanaume zuzu namna hiyo na kama ni kweli basi ni halali kabisa huyo wife akufanyie hicho alichochofanya maana kaona huna akili kabisa.
Tatizo lako lipo reasonable, fanya hivi Mkuu weka namba ya simu hapa na pale jui kwenye mada tutakufanyia Fundraising Mimi binafsi sina kitu kabisa ila nitachanga 3000 Tzs.
Yani mwanaume mzima na una mtoto unaweka pesa zote ndani, hapo umedanganya hakuna mwanaume zuzu namna hiyo na kama ni kweli basi ni halali kabisa huyo wife akufanyie hicho alichochofanya maana kaona huna akili kabisa.
Huu mtandao gan0746901701