Msaada wa haraka unahitajika

Status
Not open for further replies.
Daaa jamaa yaan ulivyoomba kirahisi hv mpaka nmejikuta nashindwa kukushangaa,unajua ungekuwa na maelezo ya kutushawishi mfano ukaweka detailis zako halisi,picha yako,ya mwanao na ushahid kuwa mkeo kakimbia na ikiwezekana picha ya unapokaa na hicho chumba coz ulivyokuja kirahsi hvyo hata baharesa mwenyewe hawez kukusaidia
 
Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Bado hujatushawishi.
 
Watu wa humu daah!msaidieni jamani kaka ukishindwa niletee nilee huyo mtoto miye.Ila masharti tusitongozane.
 
Wife kanikimbia kakomba kila kitu,ndani
Mpaka pesa niliyo kuwa naiweka ndani kaondoka nayo nayo,kaniachia mtoto.
Hivi nahitaji kupata kiasi hicho ili niweze mpeleka mtoto kwa bibi yake mbeya.
Pole sana mkuu... Mlioana au mlikuwa mnaishi tu kinyumba?
 
Msiwe na roho mbaya enyi walimwengu kama unaweza msaidia basi toa msaada upite uende huyu nae ni mwanadamu anapokwama ni sawa kabisa kuja hapa madhabahuni kuomba msaada tuwe waungwana.
Watu 40,mkimchangia 10,000 kila m'moja atapata hilo hitaji lake hebu tuwage na huruma muda mwingine.
 
Yani unavyoipangia bajeti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Anataka ya kwenda na kurudi, na ya kula njiani... utasema anaenda kwenye sherehe.
Mbeya kwenda na kurudi siti moja ni 40,000, mara Mbili ni 80,000 hapo akifika kule inabidi amuweke bi mkubwa sawa pesa ya uji wa mtoto at least 50,000...... Sasa hauoni hiyo 200,000 ni reasonable
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…