Msaada wa haraka unahitajika

Status
Not open for further replies.
~ wadau wana majibu unabaki kucheka,pole mkuu tafuta MTU wa mtaani kwako akusaidie au fika katika nyumba za ibada kwa imani yako wakuchangie utatue tatizo.mungu akufanyie wepesi insha Allah.
Ahsante kwa ushauri,
 
Kwahiyo sisi tukuchangie hadi pesa ya kwenda kumpa mama yako, siku zote yeye amekuwa akiishi bila kula... kama amekuwa akikutegemea na huwa unamtumia mahitaji mbona unahofia hana chakula..!!
 
Huyo mtoto mwache aendelee na masomo, kama ni mdogo sana basi mhifadhi kwa majirani tu kwa muda.

Unaposema mkeo amekomba ‘kila kitu’ una maana gani.?
Ameondoka na kila kitu kilichokuwa ndani kaacha baadhi ya nguo zangu,
 
Nisamehe mkuu,
Mpka mtu anafikia hatua ya kuomba msaada ujue yamemfika,
Mimi si kama ufikriavyo,

Sikupenda kufanya hivi,ila imenilazimu Leo kudhalilika hivi
Sawa....inawezekana ni kwel...lakn hii njia uliyotumia...oky jamani mwenzetu anaomba msaada wa haraka..kutoa si utajiri kutoa ni moyo
 
Bwashee hauko siriazi, kama ni lazima kwenda basi punguza ‘sifuri’ moja hapo ili upande lori au magazeti chap kidogo... mambo ya chakula bibi yake anajua venye atafanya.
 
Ameondoka na kila kitu kilichokuwa ndani kaacha baadhi ya nguo zangu,
Swal jingine kwa nini unajiita Died. Kwan maana ya died nini kinyakyusa wajameni
 
Kwahiyo sisi tukuchangie hadi pesa ya kwenda kumpa mama yako, siku zote yeye amekuwa akiishi bila kula... kama amekuwa akikutegemea na huwa unamtumia mahitaji mbona unahofia hana chakula..!!
Si kwamba hawezi kula kabisa ila nikwasababu ya mtoto kwa kipindi hicho malezi ya mama yalikuwa juu Yangu.
Mimi ndiye niliye kuwa namuwezesha.
 
Bwashee hauko siriazi, kama ni lazima kwenda basi punguza ‘sifuri’ moja hapo ili upande lori au magazeti chap kidogo... mambo ya chakula bibi yake anajua venye atafanya.
Ahsante kwa ushauri
 
Ameondoka na kila kitu kilichokuwa ndani kaacha baadhi ya nguo zangu,
Wife kabeba na nguo za mtoto aisee?!

Chai kama chai zingine! Hii imeongezewa na pilipili kichaa..

Ama kwa ndugu na majirani umekuwa mkopaji huwalipi..
Kiuhalisia rahisi kupata watu 20 kila mtu akakukopa 10,000..
Angalia contact list kama huna ni list ya wapiga Faru John tupu, pole!

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Kwani ulikuwa unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato. Huna marafiki kwenye hizo shughuli zako wakakuazima.

BTW, pole kwa masaibu yaliyokupata
 
Si kwamba hawezi kula kabisa ila nikwasababu ya mtoto kwa kipindi hicho malezi ya mama yalikuwa juu Yangu.
Mimi ndiye niliye kuwa namuwezesha.

Kwani saivi kumwezesha kumekoma.?

Hujapoteza kitu, hizo ‘pesa’ zilizokuwa ndani haziwezi kuwa nyingi mno... endelea kupambana na kumsaidia mama na mwanao.

Mkeo atarudi baada ya muda si mrefu, kwani hujui sababu ya kukimbia.?
 
Mimi si mnyakyusa,,
Jina halina shida yoyote
Halina shida sawa ila tunataka kujiaminisha kama tunachati na aliyekufa kweli au died maanake ni nini.
 
Kwani ulikuwa unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato. Huna marafiki kwenye hizo shughuli zako wakakuazima.

BTW, pole kwa masaibu yaliyokupata
Nilikuwa na duka la bidhaa za matumizi ya kawaida ya nyumbani,

Ahsante
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…