Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,780
Upo eneo gani la mwili?
Eneo lililotiwa kivuli, kipenyo ni 0cm
urefu 8x upana 4y
Upo eneo gani la mwili?
Eneo lililotiwa kivuli, kipenyo ni 0cm
urefu 8x upana 4y
Ndio lipi hilo?
Tafuta thamani ya x na y afu vipimo
upime mwili ni kwako utapapata
Thamani ya x na y inatafutwaje?
Mi naona kama unanichanganya tu!
Mwalimu wako wa hesabu hakumaliza topic au we ndo ulikuwa mtoro???
Upo eneo gani la mwili?
Waulize wengine mie bado ninayo...
Eve usibane sana leta zali kwa mentali.
KWahiyo???Huna, wenye bikra huwa hawajitangazi, hao jamaa ambao wameshagegeda hiyo kitu watakuwa zaidi ya 3.