Msaada wa haraka tafadhali!

Msaada wa haraka tafadhali!

Umefurahi nini best?
Nipo best,huwa napita njia tu

Alhamdulillah kwa kuniuliza hilo swali!!!!!
...
Ok! kama upo tupo pamoja! But usipokuepo, nabaki mwenyewe!
...
Haya usiku mwema!
 
Mpeleke Mikumi, Simba wenzake watakusaidia kuitoa.
 
Kanyanyue chuma urud na nguvu za kutosha hawez furukuta
 
Ahsanteni wadau kwa msaada na kejeli zenu, work has done ingawa kwa mbinde kwelikweli ila efficiency inaridhisha.
 
Back
Top Bottom