Msaada wa haraka tafadhali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa haraka tafadhali.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mzee wa fund, Aug 9, 2012.

 1. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni kwa shughuli na kazi mbalimbali wana JF.Kuna post ilikuwepo hapa ilikuwa ina zungumzia jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes.Nimeitafuta sija iona,mwenye kumbukumbu amipe link yake au anielekeze jinsi ya kuchakachua king'amuzi cha startimes.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  ustie tamaa hakuna post ya Kuchakachua startimes kuna post ya kuongeza chanell ambayo ni hii

  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/249697-free-startv-itv-na-chanel-10-kwenye-star-time-3.html#post4359506
   
Loading...