mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Ninarafiki
ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?
mume c wake? Awaite wote wawili awaeleze asiyoyapenda.
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?
Naona watu wamemhukumu vibaya sana huyo mme wa huyo dada lakini mi nadhani hatukupaswa kufanya hivyo maana huyo dada huenda naye ana mapungufu yake ambaye yanamfanya mmewe kuwa mpweke zaidi na kujikuta anafanya vitu ili angalau kujiridhisha,Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?