Msaada wa haraka tafadhali

Aug 17, 2009
60
4
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?
 
mapenzi hayana emergency mkuu

Hii ya msaada wa haraka kwenye lovey dovey hai-hold water... jina lako linaonyesha wewe ni mtaratibu, but you want quick fix

wanshangaza (FF)
 
Ninarafiki
ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?

Na yeye atafute ukaribu wa urafiki na mmoja wa wafanyakazi wenzake na mumewe na awasiliane vivyo hivyo mpaka usiku na atafute ambaye hajaoa
 
amkalishe mumewe chini na amueleze hali hiyo kwke inahatarisha ndoa yao na kama mume yupo tayari kuendelea ajue ipo siku litatokea lakutokea
ikibidi na yeye atafute hata rafiki awe anachrt nae mapka huo muda na week end
hata kama rafiki ni wa kike awe naye busy ili kila mtu awe sawa mijanauume mingine bana..kama vl ililazimishwa kuoa
 
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?

wivu tu umemjaa.. si yule wa nanihii.. amezoea sana kumropokea mumewe.. sasa kwanini mumewe asitafute mwenye maneno laini.. mwambie kinywa chake karibia kitamponza.. halafu tabia yake ya kujifanya mshamba wa cm inaboa sana. akitumiwa msg yawezakaa hadi jioni haijajibiwa.. mwambieni mwenzenu ni mobile hand-phone sio mtambo wa ttcl wa kuutupa sebuleni au kuufutika kwenye pochi kisha akawa bize na mikazikazi..Pia usisahau kumwambia kwamba sio all time anajifanya kuongelea maendeleo-maendeleo.. mara tujenge.. mara tununue kiwanja.. yani yeye anajifanya mwalimu sana wa kufundisha maendeleo? ah! pesa yenyewe iko wapi bongo hii.. embu awe mstaaarabu.. Daile analalamika hapelekwi out, juzikati kaambiwa atolewe out analet za kuleta.. mara oo hiyo hela si bora tungenunulia kitu fulani kuliko kuipoteza kwa starehe.. shit!! ah watu wengine wakoje?.. embu mwambieni true.. Msimpe kichwa kwa sababu anawaropokea huku shingo kaipindisha .. anaboa sana.. sijasema masuala yale muhimu kwenye 6X6.. mwenzenu keshakuwa mzee flani hivi.. workdone =0. hata mumewe hamwelewi... sometimes mumewe anadhani feeling zake kwake labda zimeshakatika.. anaboa sana.. mwelezeni.. mpeni true yake..
 
Dawa y moto n moto ukiwaka nawe unakoleza,tafuta nawe wa karbu il umpme uone yy atafanyaje!,Ila uctafute ambaye atakua na malengo sn nawe,mawacliano km kawa had saa 6 ucku na jna uwe unamwta honey hapo jeur yake ataiweka mfukon!.
 
"Mchawi mpe mtoto amlee"...

Be strong.. mkaribishe nyumbani..pika chakula wote watatu mle na uzungumzie hiyo topic.. uzungumzie majukumu ya Baba na majaribu ya baba kutoka kwa mafisadi ya mapenzi na wavunja ndoa..

Hata wajambazi na wauwaji wana mioyo ambayo inaumia wakati ukweli unapenya....
 
MTM mpaka m2 anasema msaada wa haraka maana yake anahitaji ushauri ili anusuru hali mbaya aliyonayo,kama ikiendelea yawezaleta madhara makubwa zaidi,@SALMA2015,ni mke ambaye ni bora huwezi amin,ila wiv chachu ktk mapenz ingawa haupaswi kuzidi,ila kama kuna vi2 vinazidi na vinakera na umevisema na hueleweki bora kuomba msaada ili kufanya ki2 kwa usahihi zaid
 
mtu wa aina hiyo akianza kuchati na wewe anza kuchati kwa sana huku ukionyesha kicheko bilaa hata kumwambia ni nani, na acha kumuuliza anachati na nani
 
afanye kama tulizo alivyosema bt hakuna haja ya kuongelea ufisadi wa mapenzi. amkaribishe home na wawe mashosti. wknd unamuambia nisindikize shopping,maduka ya viatu vizuri siyajui. kuna mashosti wa mume huwa wanakimbia ukaribu,akiona anmkwepa plan b iwe nae kutafuta marafiki wa kujiweka nao busy hata kama ni a kike.'let him have the taste of his own medicine', tartiiibu bila hata kugombana.
 
Amejitahd kuweka ukaribu na huyo mdada ila nadhan hakutaka wawe marafiki.ukaribu na mkaka ndo unazidi,mdada anamshirikisha sana mkaka ktk mambo yake binafsi,na mkaka pia,mke amekemea ila hakuna mabadiliko yoyote kiasi anataman alifikishe kwa wazazi,ila kabla hajafanya hivyo anaona bora atafte jinc yakulitatua tatizo hilo
 
Wadada wengine bwana!anapata faida gani kumnyima raha ya ndoa mwanamke mwezie,ina maana haoni km huyo mume wa mtu ana mkewe na yy ni kidumu tu,urafiki gani uliopita mipaka kiasi hicho,yani anasahu kuwa naye ni mwanamke pia ipo siku yanaweza kumkuta,na huyo rafiki yako niimemtoa maana yani anaona raha kuwa busy na likimada mda wote badala ya mkewe wa ndoa, kama kashindwa kuiona thamani ya mkewe,na mshauri huyo mke aingie front mwenyewe kuipigania ndoa yake amshirikishe mshenga wao kuamsha akili ya huyo mume manafiki!
 
pupa za mkewe tu hamna lolote. kwani simu zote inaonyesha zinapigwa na kupokelewa hadharani tena mbele ya mke. kinachozungumzwa anasikia so what is the great deal? yeye kama mke atimize wajibu wake na mengine amwachie mumewe. hakuna siri chini ya mbingu bana kama kweli itajulikana siku moja.
 
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?

IMO Mkewe ana haki ya kua na wasi wasi... Atumie busara tu.. uzuri yaonesha bado hawajafanya kitu...
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu mungu atawazidishia milele.Ashadii kama ingekuwa wewe ungefanyaje,anahitaji zaidi njia ya kufanya ili hawa uhusiano ubakie wakiofisi,kama mko ofisi 1 mkitoka ofisini mnajadili nini mpaka saa 4 au 5 ucku,mdada hajaolewa na hana mwanaume,hapo kishawishi ni kikubwa afanyeje?,ameshaongea sana na mume ila haelekei hata kupunguza,je aongee na mdada,au am2mie m2 mwenye busara aongee na mume?
 
Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni ukaribu uliopitiliza,wanawasiliana mpaka saa 4 ucku,wkend pia siku nzima wanachat,majina wanayoitana ni mine,wakiongea kwa cm unawezasema ni wapenzi.ameshasema sana na mumewe ila hakuna mabadiliko,afanyeje ili kuvunja uhusiano huo unaoleta kutokuelewana ktk ndoa yake?
Naona watu wamemhukumu vibaya sana huyo mme wa huyo dada lakini mi nadhani hatukupaswa kufanya hivyo maana huyo dada huenda naye ana mapungufu yake ambaye yanamfanya mmewe kuwa mpweke zaidi na kujikuta anafanya vitu ili angalau kujiridhisha,
Ndg mtaratibuuuuuuuuu...naona umefunguka vizuri kuhusu rafiki yako ila sio vyepesi kushauri wana ndoa kwa kusikiliza upande mmoja tu,hebu fanya hivyo kwa upande wa huyo rafiki yako ili tatizo tujue ni nini?
kuna taarifa kaitoa SALMA2015 imenifanya nitake maelezo ya kina kwa ushauri bila kujua chanzo unaweza kuua ndoa za watu ambazo watu wamegharamikia sana

nitarudi kutoa ushauri baada ya kunijibu lkn nimeona ameshauriwa kulipiza kwamba unamwaga mboga naye amwage ugali,itakula kwake
i wil b back
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom