Inawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system.Nina compture yangu HP Compaq
Ina tatizo inaingiza chaji den baada ya mda inakata nini tatizo
Msaada wada chief mkwawa na wengine wenye uelewa wa haya mambo
Nimeweka adaptor nyingine imegomaa nimewasha bila bettries inawaka den inazimaInawezekana tatizo ni power adapter yako ama betri ama charging system.
Fanya kauchunguzi kidogo kubaini tatizo liko wapi kwa kubadilisha either battery ama adapter kwa mtu mwenye pc kama yako