Msaada wa haraka sanaa unahitajika (iphone users)

Msaada wa haraka sanaa unahitajika (iphone users)

Mkuu ungeweka hata screenshot ya nyimbo ambayo umeidownload ungetisha sana..mfano ngoma ya diamond ya hallelujah...
IMG_8125.PNG
 
Mkuu nashkuru sanaa nimeweza kuinstall tubidy, ila shida imekuja kua vitu nnavyovidownload vinatumika tu humo humo kwenye tubidy sivikuti kwenye gallery au music ile player ya kawaida, nifanyeje kuzipeleka hizi miziki kwenye playlists za kawaida.
Mkuu hio tubidy ndio player yako sasa,ukitaka ku access kwenye media player hakikisha nyimbo umeiweka kwa kutumia itunes au umeitoa app store.
Tubidy ipo fresh tu wala usiwe na wasi wasi unafanya kila kitu kama player nyingine.
Thnx.
 
Msaada wa haraka nikajua labda ni dharura inayoweza kugharimu maisha ya mtu au watu ikiwa msaada utachelewa kumbe Simu!! Ushafuata mkumbo mambo yamekuchanganya unataka tuchanganyikiwe wote kwa tatizo lako?
 
Msaada wa haraka nikajua labda ni dharura inayoweza kugharimu maisha ya mtu au watu ikiwa msaada utachelewa kumbe Simu!! Ushafuata mkumbo mambo yamekuchanganya unataka tuchanganyikiwe wote kwa tatizo lako?
 
mkuu apps nyingine unayoweza kutumia mbadala na itunes kwenye pc kwa ajili ya kuhamisha vitu kutoka kwenye simu au simu kwenda kwenye computer tunatumia SYNCIOS,ijaribu afu leta mrejesho,but lazima uwe umeinstall itunes but utaitumia syncios....karibu apple.
 
Kama huja update to ios 11 ! Download hizi hapa ziko 100 times better than tubidy haina matangazo ya ajabu ajabu!
74c81b9768767da1f050ac709bc0245c.jpg
 
Wakuu mmenifumbua mambo mengi sanaa, mmenisaidia sanaa, naawashkuruni sanaa.
 
Wakuu kama nataka kudownload movie kwenye i phone nafanya vp?


Ntashkuru sanaa
 
Back
Top Bottom