Msaada wa haraka sanaa unahitajika (iphone users)

Nielezee kidogo mkuu bado cjakupata kabisa
Kuna app imeandikwa cydia?
Yenye logo hii
7e1735e700cccc400cfca65ffd93d0bb.jpg

Je ulishawahi kuiupdate?
Kama iko jail m broken haiwezi pata OTA updates
 
Chief-Mkwawa nimeshindwa ku-update iso yangu ni 7.1.2 katika iphone4S nimeangalia tutorial nyingi awapi sasa mkuu unawezaje nipa msaada juu la hili.

Pole mkuu jaribu kutumia WiFi Ila IPhone 4s inaishia iOS 9 . Haitaweza kuvuka hapo , there is no way unaweza kupata iOS 10 mpaka 11 kwenye 4S.
 
Kuna app imeandikwa cydia?
Yenye logo hii
7e1735e700cccc400cfca65ffd93d0bb.jpg

Je ulishawahi kuiupdate?
Kama iko jail m broken haiwezi pata OTA updates

Mkuu nimeipata iyo lakin sasa haifunguki kabisa yaani nimeona kwenye yt nyng lakin still hakuna kipya haifunguki kwenye file manager
 
Pole mkuu jaribu kutumia WiFi Ila IPhone 4s inaishia iOS 9 . Haitaweza kuvuka hapo , there is no way unaweza kupata iOS 10 mpaka 11 kwenye 4S.

Ndio madhara kutumia simu ambazo zimepotwa na wakati mi nilipenda nguvu ya simu na sio camera wala showoff
 
Ile simu ina performance nzuri sana na hardware ngumu , pia apple wanaipa updates na applications ziko optimized kwa ajiri ya version za chini , kuna application mle haziingii direct from App Store Kama fb inagoma kwenye iphone 4 mpaka utumie browser , ndo maana zinakuwa na performance nzuri mda wote
 
Mkuu nimeipata iyo lakin sasa haifunguki kabisa yaani nimeona kwenye yt nyng lakin still hakuna kipya haifunguki kwenye file manager
Sijakuelewa nimeuliza kama kwenye simu yako kuna hiyo app?
Kama ipo jua simu yako iko jail broken iupdate kutumia itunes kwa maana huwezi iupdate via OTA
 
Ndioo maaaana siwezi kuiaccess itunes
 
Nikiingia itune kuna itune U na podcast basi inaonesha blanks
Siyo itunes ya kwenye simu tunaongelea itunes software iliyo installed kwenye computer then unganisha simu yako na hiyo computer software ya itunes itafunguka isipofunguka click icone yake ifungue utaona simu yako imesoma then update kupitia huko na uhakikishe computer ineungwa internet na iwe na bundle la kutosha
 
Nimefanya hivyo mkuu
 
Hapana Mkuu bado kabisha yaani hata tubidy imekataa sijui tatizo silijui
Fanya hv download psw file la sim yako. Save kwa pc. Chomeka sim bonyeza ctrl click update itakuletea uchagua lilipo file lako la psw li select utaabza update kumbuka uwe umefanya back up kabla ya kufanya hii process
 
Asante Mkuu ngoja nipate bando nitakupa majibu hekoo
 
Back
Top Bottom