666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,026
Wakuu naomba kujua jinsi ya kudownload music hizi za bongo fleva kwa kutumia i phone, nimejaribu sanaa nimeshindwa.
Na vile vile uwezo wa kuamisha nyimbo toka kwenye pc kuja kwenye iphone bila kutumia itunes. Je kama istore yangu inazingua nifanyeje?
Nb. Natumia i phone 6 s
Na vile vile uwezo wa kuamisha nyimbo toka kwenye pc kuja kwenye iphone bila kutumia itunes. Je kama istore yangu inazingua nifanyeje?
Nb. Natumia i phone 6 s