Msaada wa haraka...rafiki yangu anapotea..

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,146
Reaction score
40,912
Wasalaam...Nina rafiki yangu ambaye alikuwa very bright shuleni....alipata daraja zuri sana kidato cha nne kiasi kwamba wengi tuliamini angefika mbali kimasomo..lakini mambo yameharibika baada ya kufeli mtihani wa kidato cha sita..hapo ndipo alipoanza kuwa mlevi..na bange ikawa ndio rafiki yake..huu ni mwaka wa nne..bado yuko hivo hivo...mlevi tena mlevi mbwa..kwa kifupi amepoteza dira..kila nikimuona roho inauma..sana..nashindwa jinsi ya kumshauri sababu ukimuuliza anasema hajisikii kufanya lolote...anasema mara nyingi kuna nafsi inamtuma ajiue....naombeni msaada wenu wadau ili tumuokoe rafiki yetu mpendwa...
 
Mgonjwa wa akili huyo. Msaidie aonane na dr wa akili then labda atashauri apelekwe rehab.
 
Pole kwake rafiki yako mpendwa...
Hapo pa kubadilika na kua mlevi sijui inaweza ikawa ni nin mazingira aliyopo na company yake au hata kachezewa akili.
Ila hapo pa kutaman kujiua nina uhakika ni pepo wachafu,mim naamin kupata ile akili ya kamaida ukaamua kujiua ni ngumu sana hata uwe na matatizo kiasi gani,ila kujiua yan unakua na lile wazo la kwann niishi bora nife ni kitu kinakusukuma kufikir ivo,na bila kufikiria akishakufa ataenda wap?ivo me nashauri muanze kumpeleka ktk maombi kutokana na dini yake,ila inabid aokolewe kiroho kwanza
 
jaribu kumweka karibu na wewe mda mwingi upatapo nafasi mpe na michongo ya vibarua at least awe busy kidogo apo ndo atakapoanza kufunguka macho.
 
Wasalaam...Nina rafiki yangu ambaye alikuwa very bright shuleni....alipata daraja zuri sana kidato cha nne kiasi kwamba wengi tuliamini angefika mbali kimasomo..lakini mambo yameharibika baada ya kufeli mtihani wa kidato cha sita..hapo ndipo alipoanza kuwa mlevi..na bange ikawa ndio rafiki yake..huu ni mwaka wa nne..bado yuko hivo hivo...mlevi tena mlevi mbwa..kwa kifupi amepoteza dira..kila nikimuona roho inauma..sana..nashindwa jinsi ya kumshauri sababu ukimuuliza anasema hajisikii kufanya lolote...anasema mara nyingi kuna nafsi inamtuma ajiue....naombeni msaada wenu wadau ili tumuokoe rafiki yetu mpendwa...

msaada pekee wa maana unaoweza kumpatia ni kumpeleka kwa madaktari wanaoshughulikia matatizo ya akili,,,,,,,,,,,,,

suicidal ideation ni mbaya sana kwa wenye matatizo ya akili......
 
Jaribu kumpeleka kwa doctor wa magonjwa ya akili na pia kama na pia mpeleke kwe mkanisa ya kilokole labda kuna nguvu za kiza .akaombewe sana mkuu
 
Naungana na wadau hapo juu kuwa mpeleke kwa dr. anawekubadilika pengine ameathika kisaikolojia kutokana na doto zake kutokutimia
 
inaonekana hata yeye mwenyewe alikuwa na xpectations kubwa sana katika masomo yake lakini baada ya kutokea kilichotokea(kufeli),na kwa kawaida sometymz hutokea hata kwa watu bright kama yeye,alikata tamaa.cha muhimu ni kuwa karibu nae na kujaribu kumuelimisha kuwa wakati mwingine katika maisha watu hufeli ili waje wawini baadae.kwani katika maisha unaponguka,lazima ujikusanye upya na kujipanga na safari tena........na pia mwambia maisha ndivyo yalivyo,graph huwa haiendi juu tu sikuzote,kuna siku zingine graph hushuka.so lazima akubaliane na yote.jitahidi aweze kutambua thamani yake,akiisha itambua tu hata huo ulevi ataacha
 
Ni hatari sana...kuna watu pyschologicaly wapo unstable so...mshauri aende kwa dr au watu wa ushauri kidongo...
 
Wasalaam...Nina rafiki yangu ambaye alikuwa very bright shuleni....alipata daraja zuri sana kidato cha nne kiasi kwamba wengi tuliamini angefika mbali kimasomo..lakini mambo yameharibika baada ya kufeli mtihani wa kidato cha sita..hapo ndipo alipoanza kuwa mlevi..na bange ikawa ndio rafiki yake..huu ni mwaka wa nne..bado yuko hivo hivo...mlevi tena mlevi mbwa..kwa kifupi amepoteza dira..kila nikimuona roho inauma..sana..nashindwa jinsi ya kumshauri sababu ukimuuliza anasema hajisikii kufanya lolote...anasema mara nyingi kuna nafsi inamtuma ajiue....naombeni msaada wenu wadau ili tumuokoe rafiki yetu mpendwa...

Amelogwa. Mpeleke kwenye kanisa unaloliamini ili hilo jini likaondolewe. Ndilo linamsukuma kujiua.
 
jaribu kumweka karibu na wewe mda mwingi upatapo nafasi mpe na michongo ya vibarua at least awe busy kidogo apo ndo atakapoanza kufunguka macho.
Umesema kweli kwani wakati mwingine ni idling,frustrutions,stress,umasikini na mengineyo humfanya mtu awe nyumba ya shetani.Ikifikia hapo ndo mambo kama yanayomkuta jamaa yanapoanzia.Ila asiache kupelekwa kwa Psychiatric apewe tiba na counselling.Kujiua ni kumpa adui ushindi akifika kule kuzimu ndo atajutia kwani izo bia baridi na nyama choma anazoinjoi sasa hivi kule hazipo au bei inaweza kuwa juu sana akashindwa kununua matokeo yake atakufa tena mara ya pili.Hasa hili umwambie na umsisitizie ikiwezekana muoneshe meseji yangu hii asipoamini NiDipu niongee naye anacheza na kifo!
 
....asante mkuu.
 
msaada pekee wa maana unaoweza kumpatia ni kumpeleka kwa madaktari wanaoshughulikia matatizo ya akili,,,,,,,,,,,,,

suicidal ideation ni mbaya sana kwa wenye matatizo ya akili......

Wazo zuri sana.
 
huyo apatiwe ushauri nasaha kwanza,au kama vipi apelekwe mirembe dodoma.
 
Back
Top Bottom