mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Najua sana hiyo kitu....lakini nimeipost huku kwa kujua nitapata majibu ya fasta bila chenga. kama unajua naomba unifungueJukwaa la siasa na biashara ya camera! Ungeipeleka kwenye jukwaa la technolojia ingekuwa safi sana.
Mkuu, najua hii siyo sehemu yake....lakini hapa ndipo nitapata watu wanaoilewa hii kitu. unaweza nisaidieUmepotea jukwaa mkuu, ila subiri waje wataalam wa gadgets
Wandugu waungwana
Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic.
Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni
Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080.
touch screen and built in memory.
Huyu jamaa bei yake ni laki 5 na anahitaji hii pesa as soon as i can give him maana kesho
ana safiri nje ya nchi. Je kwa nyie mnaoijua hii kitu ni kweli naweza kulipa laki 5 sasahivi?
Na dukani inauzwaje?....Naombeni msaada wenu please! nisije kutapeliwa usiku huu hapa mbele ya shemeji yenu.
Sawa yako mengi...yanapatikana kwa bei gani? msaada pls!Mkuu acha papala... Hayo mavitu yako mengi sana.. Take time mwache aende zake.... Usije kulia... Haraka haraka..........
Ngoja waje wengine jiandae kushambuliwa kwa maana ya jukwaa ulilotumia
Najua sana hiyo kitu....lakini nimeipost huku kwa kujua nitapata majibu ya fasta bila chenga. kama unajua naomba unifungue.
Uko sahihi Mkubwa ila kuwa mpole tu!
Bila shaka utapata majibu mazuri tu!
Jf ina kila aina ya members.
Mkuu, ahsante sana! huwezi amini hii kitu iko kwenye box na hapa tulipo tumeifungua na kuitest upande wa Video na photo....bei yake alianzia laki 7 lakini nimelialianae hadi tukafika laki 5. Mkuu hii kitu inavutia usipime! i wish ungeiona!Mkuu, hiyo bei ni nzuri sana. Tena ni ya chini kuliko bei ya dukani. hiyo kitu ni $1300. Jiulize, ni kwa nini analiuza haraka hivyo na kwa bei ya chini hivyo?. Angalia usinunue kitu cha moto au kanyaboya ya kichina. Ni hayo tu ila specs ni Nzuri 1920 x 1080 is the best you can go
Ahsante mkuu!....hii kitu imetuvutia sana alafu bado mbichi. Hata hivyo CCM-MAMA naona amenifungua kidogoNajua sana hiyo kitu....lakini nimeipost huku kwa kujua nitapata majibu ya fasta bila chenga. kama unajua naomba unifungue.
Uko sahihi Mkubwa ila kuwa mpole tu!
Bila shaka utapata majibu mazuri tu!
Jf ina kila aina ya members.
Hata mimi nafikiria hivyo....lakini acha niendelee kupata maoni mawili matatu kutoka kwa watu kama nyinyiNunua hiyo usiiache
Ahsante....lakini je unajua shop ni kiasi gani? anyway hata hivyo nafikiria kuichukuaHiyo bei, sawa na bure
Wandugu waungwana
Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic.
Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni
Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080.
touch screen and built in memory.
Huyu jamaa bei yake ni laki 5 na anahitaji hii pesa as soon as i can give him maana kesho.
Mkuu Mshikachuma, muda ulioutumia kuposti hapa, ulitosha ku google na kuconfirm.Wandugu waungwana