Msaada wa haraka please

achana na hiyo ni kwaajili ya kutibu coccidiosis tafuta fluroquinolone (Cipro) ndio drug of choice
Awape agrocox hiyo niliwapa kuku ndo kwanza waliendelea kuharisha hakuna aliyepona mpaka nilipobadilisha dawa
 
Bata wanakosa nguvu na kukaa wanashindwa kula na within a short time wanakufa. tatizo ni nini na amtibabu yake ni dawa gani?
Pole sana Ndugu, naomba uwapatie DCP hapo wana upungufu wa Calcium, changanya kwenye maji wanyweshe kwa kijiko mmoja mmoja kwa siku 3, baada ya hapo uwe unawachanganyia kwenye chakula chao na maji ya kunywa watapona, Ubarikiwe.
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…