Msaada wa haraka please.

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Habari, nina mtu wa karibu yangu anaomba mchanganuo wa kupata chuo. Amemaliza form 4,mwaka jana,but ana div ya 31. Yupo Dar.
Matokeo yake ni
Civi-D
Kiswa-D
Geog-F
Engl-D
Math-F
Bios-F
Litera-F
Histry-D
anasema anapenda masuala ya Jounalism & Broadcasting, masuala HR.
Lakini yote kwa yote anaomba mchanganuo,anaweza kwenda kuaply wapi, maana kuna CBM,CBE,DSJ,UTUMISHI,N.k.
Msaada plz.
 
Simple... Huyu anatakikana ku'repeat... Ameshapata changamoto kuhusu effort yake na matunda ndio hayo, basi this time inabidi atie'effort zaidi kielimu ili angalau apate C's.

Hizo choices anazotaka zinahitaji uelewa zaidi, Journalism (Kiswa-D/ENglish-D/Litera-F) sidhani ataweza, HR (Math-F/Kiswa-D/ENglish-D) sidhani...
 
Jeryson, kama ni wewe AU jamaa yako: Kimsingi ni vema akarudia ( resit) mitihani hata minne say communication skills (english/literature, swahili), hesabu na historia. Vinginevyo F ya Math ni norma! Baada ya hapo atweze fanya uchaguzi wenye busara!
 
Back
Top Bottom