texaz mc
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 371
- 205
Habari, kuna dogo kamaliza Form four mwaka jana na matokeo yake ni haya
M
26
IV
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' LIT ENG - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F
sasa dogo anataka chuo namwambia uo mswaki wa math utakuzuia anabisha. Anaomba ushauri asome nini na chuo gani kitamkubali.