chokaa nyeusi
Member
- May 9, 2019
- 46
- 60
wadau mada kma inavyojieleza niende kusoma kozi ipi kati ya hizo mbili na manufaaa yake huko mbeleni.leo ndo mwisho wa kuthibitisha.......mawazo yenu tafadhali kwani nimekwama
Physics ni pana sana.physics ipi hiyo?wadau mada kma inavyojieleza niende kusoma kozi ipi kati ya hizo mbili na manufaaa yake huko mbeleni.leo ndo mwisho wa kuthibitisha.......mawazo yenu tafadhali kwani nimekwama
Inaitwa hivyo hivyo.Physics ni pana sana.physics ipi hiyo?
wadau mada kma inavyojieleza niende kusoma kozi ipi kati ya hizo mbili na manufaaa yake huko mbeleni.leo ndo mwisho wa kuthibitisha.......mawazo yenu tafadhali kwani nimekwama
Unataka kuwa nani?
Maana hizi ni discipline mbili tofauti....