Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,384
- 3,057
Nafika leo natoka Arusha ila nataka nije kulala Kibaha kwa siku 5. Nahitaji mwenye kufahamu Lodge nzuri safi standard kwa bei ya tsh 20,000 mpaka 30,000.
Na nyingine ya 30,000 mpaka 50,000. Dereva wangu anataka yake isizidi tsh 30,000. Mi nataka isizidi 50,000. Iwe sehemu yenye parking ndani na yenye utulivu kusiwe na Bar. Please nisaidieni majina ya Lodges au Hotels hizo.
IWE SANA SANA PICHA YA NDEGE NA KWA MATHIAS.