Nenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.Wakuu poleni na majukum nipo na rafiki yangu kaibiwa simu mbili tecno spark k 7 na w5. Tumeenda polisi chang'ombe wanadai aende kesho, tunawaza ikiwa atauza na kuondoka itakuaje? Please wakuu kama kuna mwenye altenative way anisaidie haraka, samahan kwa uandishi mbovu Ahsanten
Ahsante mkuuNenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.
Jamaa hata hajui mambo ya location nimejarib kutumia app ya find device ina shindwa na kulock pia inashindwa dah....sasa mkuu ninachokiona hapo kama inawezekana ungekewa na zile IMEI za phone zote ungeenda kuzifunga kwenye office za wanaojua haya masuala.Alaf kama unataka kuzipata kwa njia ya internet kama uliacha location on ingekusaidia kwa kiac chake.
tatizo polisi wa kingo hicho wamefanya dili wanachukua imei wanazikamata simu wanachukua pesa kwa aliyekamtwa na simu si chini ya laki mbili ndio dau lao na simu wanachukua wanauza weww wanakwambia hatujazipataNenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.
Inauma sana mkuu ila nipo chimbo pia... Naweza kuzi track mwenyewtatizo polisi wa kingo hicho wamefanya dili wanachukua imei wanazikamata simu wanachukua pesa kwa aliyekamtwa na simu si chini ya laki mbili ndio dau lao na simu wanachukua wanauza weww wanakwambia hatujazipata
Wakati anajiandaa kufanya yote haya pia nimshauri tu kwamba awe mfukoni amenona vya kutosha,maana ataambiwa aweke gari ya police mafuta bila kusahau kuambiwa akatoe copy karatasi za kureport tukio na pia awe na muda wa kutosha wa kupoteza.na yote haya atayafanya ila still simu zake anaweza asizipate coz kama zitadondokea kwenye mikono ya mjanja mjanja anaejua kuzichezea akizi-root tu hamna ambacho ataona.mie naamini ktk kusahau na kuacha maisha yaendelee tu ukishaibiwa simu ili kuepusha hizi rabsha.Nenda kwa watu wa mtandao uliyokuwa unatumia kama ni tigo au yyte ile. Wao watajua line yako ilikuwa inatumika kwa namba simu ipi watakuambia mei yako. Pia kama ile simu inatumika kwa mtandao mwingine watakupa mpaka namba ya huyo mtu anaye tumia. Kama itakuwa imezimwa au haiko hewani pindi watakapo weka sim card yyte itajulikana kuna kitengo cha police kinacho deal na wizi wa simu. Cyber crime na hakika watakusaidia na utapata simu yako hata mie niliwahi kuibiwa lakini hatimaye simu ilipatikana na nikarudishiwa ila vuta subra.
Kibongo bongo hawa cybercrime unaweza kuta anatumia ela zaidiNamhurumia sana kijana hapa yaani vitu vingi vimesepa id ya chuo fedha laki na 80 pamoj na simi hizo tajwa....[emoji29][emoji29][emoji29]
asew pole sana kwan hukuandika imei popote??Jamaa hata hajui mambo ya location nimejarib kutumia app ya find device ina shindwa na kulock pia inashindwa dah....
Sio kweli mie sijatoa hata shilingi na nilipigiwa simu kwenda kukabidhiwa simu yangu wakiwepo wahalifu 4 walio uziana hiyo simuWakati anajiandaa kufanya yote haya pia nimshauri tu kwamba awe mfukoni amenona vya kutosha,maana ataambiwa aweke gari ya police mafuta bila kusahau kuambiwa akatoe copy karatasi za kureport tukio na pia awe na muda wa kutosha wa kupoteza.na yote haya atayafanya ila still simu zake anaweza asizipate coz kama zitadondokea kwenye mikono ya mjanja mjanja anaejua kuzichezea akizi-root tu hamna ambacho ataona.mie naamini ktk kusahau na kuacha maisha yaendelee tu ukishaibiwa simu ili kuepusha hizi rabsha.
aisee wewe una bahati ya mtende au huyo askari alikuwa jamaa yako... ila kiukweli askari ni tatizoSio kweli mie sijatoa hata shilingi na nilipigiwa simu kwenda kukabidhiwa simu yangu wakiwepo wahalifu 4 walio uziana hiyo simu