Mkono Mkavu
Member
- Dec 22, 2016
- 70
- 70
Cjapata wakunisaidia aiseeNgoj waje
tafuta mtu alie bongo akulipie mkuuKwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na hatuwezi kuaccess matumizi ya tigo pesa na mpesa tufanyeje malipo ili kuitumia hii app?? Na je kuna uwezekano huo au ni kwa ajili ya walio nchini tu. Msaada tafadhari.
Sina taarifa inayojitosheleza juu ya hii app kumbe naomba wajuzi mnisaidie maana nasikia imetumika kunasa taarifa za siri za bashiteHiyo app sio ya kitapeli kweli?
Mkuu kuwa makini, kuna kipindi niliona taarifa zisemazo hiyo app ni ya kitapeliSina taarifa inayojitosheleza juu ya hii app kumbe naomba wajuzi mnisaidie maana nasikia imetumika kunasa taarifa za siri za bashite
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na hatuwezi kuaccess matumizi ya tigo pesa na mpesa tufanyeje malipo ili kuitumia hii app?? Na je kuna uwezekano huo au ni kwa ajili ya walio nchini tu. Msaada tafadhari.
Poleni mnaosema ni yakitapeli ni bonge moja ya app hasa kwa kumfuatilia mpenzi au mke ambaye unadhani unaibiwa. Sisi tupo tunaenjoy tu na telbox Tanzania kwa elfu 45 tu
Utamu wa ngoma ingia ucheze,Hao ni matepeli mkuu,ukituma hela wakutumie activation code ndio imekula kwako…
Utasubiri mpaka pombe itoke madarakani
Unapata raha gani kudanganya watu? Au na wewe ni miongoni mwao upo hapa kuwapigia promo!!
Hao jamaa ni matapeli,period!
Asante sana kwa kunistua maaana niko nje ya nchi kumbe nilitaja kujiridhisha na hikiUnapata raha gani kudanganya watu? Au na wewe ni miongoni mwao upo hapa kuwapigia promo!!
Hao jamaa ni matapeli,period!
Ohoooooo!!!Nenda katapeliwe
Na wewe utakuwa mmoja ya wanaotaka wenzako waibiwe kwa akili ya kawaida kuhack simu ya mtu haijawahi kuwa rahisi hivyo eti unaweka namba una click tayari.Poleni mnaosema ni yakitapeli ni bonge moja ya app hasa kwa kumfuatilia mpenzi au mke ambaye unadhani unaibiwa. Sisi tupo tunaenjoy tu na telbox Tanzania kwa elfu 45 tu