Dada naye angekuwa anacheat,siku hizi ukitoswa utaumia bure lazima uwe na extra ili ukitoswa usifiwe presha,ila ukijifanya umezama na kumwamini mtu mmoja utakufa presha bure.....mwambie huyo mdada achukulie poa,siku hizi hakuna haja ya kuumiza
kichwa kwa ajili ya mapenzi labda utaumia pale mmeoana

Yamenikuta kama haya,na nimeumizwa sana tena sana nimeamua kuacha kulazimisha mapenzi.Ingawa bado na maumivu tena sana lakini yatapoa na nitampata ataenifaa,
story ya kutunga na bado haina mvuto, alafu we ni graduate jifunze kujieleza jamii ikuelewe! kiswahili broken, ebu jaribu kuiweka katika english may be we will get u!
so asepe au ??????????Dada naye angekuwa anacheat,siku hizi ukitoswa utaumia bure lazima uwe na extra ili ukitoswa usifiwe presha,ila ukijifanya umezama na kumwamini mtu mmoja utakufa presha bure.....mwambie huyo mdada achukulie poa,siku hizi hakuna haja ya kuumiza
kichwa kwa ajili ya mapenzi labda utaumia pale mmeoana
kwaiyo hata msamaha wake asiuzikilize sio ..........mana aweza badilika who knowsMawasiliano ya aina hiyo ndiyo mwanzo wa kusaliti mahusiano yao, huyo mwanaume mpaka hapo keshamsaliti mpenzi wake......... hahitaji ushahidi zaidi ya huo, yeye asepe zake tu...................