Msaada wa haraka jamani kwenye hili.

Omba kazi ya uwaiter utazinywa kichizi maana walevi huwa wanabakisha pombe kwenye glass au chupa! maana huna senti za kujinywesha jinsi navyokuona
 
Dah kama utashindwa vodka ni bora usinywe pombe.Welcome in our kingdom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…