Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,861
- 828
Jana nimepokea simu yangu galaxy s4 i9500,tatizo kubwa tangu hiyo jana asubuhi nimecheza nayo hadi sasa nimechemka.sijafanikiwa kuunga intenet.nahitaji msaada wenu tafadhali
umesha add apn ya mtandao husika??
kwan hujui unaweza ukatoa hata milion na ukauziwa clone
cha msingi kama hujui kitu nyamaza kimya.kwanza tatizo limetatuliwa na mtaalam mwl rct hapa nakula goodtime na s4 kweli najuta kukaa na tecno muda mrefu.s4 ni zaidi ya simu
nakuonea huruma na katecno kakoo teheteheeeeUnaonekana ndo kwanza umeingia mjini, jinsi unavyosound.
Sasa fanya hivi, kua makini usije ibiwa.
Enjoy
nakuonea huruma na katecno kakoo teheteheeee
acha akili za kitoto ww ndo mara ya kwanza kutumia smartphone nn? Unaonekana ukiibiwa iyo simu utalia sana
hahaha kaka nina miaka 2 kaka tangu nimiliki smartphone ingawa zilikuwa tecno,achana na samsung weee onja uone utamu
hahaha kaka nina miaka 2 kaka tangu nimiliki smartphone ingawa zilikuwa tecno,achana na samsung weee onja uone utamu
Washamba utawajua tu I see
Acha akili za kitoto ww ndo mara ya kwanza kutumia smartphone nn? Unaonekana ukiibiwa iyo simu utalia sana
Hahahaaa
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mimi nashangaa humu nimeomba msaada nimeambulia matusi.inakuwaje hapa?
unajua lolote khs air gesture????? hem jaribu utupe matokeo na s4 yako