kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 911
- 862
kwenye s4 yako ipo hyo??????????????????? samahani kwa kumalizia naomba tuma imei za s4 yako tukate mzizi wa fitnamkuu air gesture ni pale unapopitisha mkono juu ya kioo cha simu yako pasipo kugusa mfano wakati unatazama picha si lazima uguse kioo cha simu n k.umenipata?