Msaada wa haraka hii hesabu!!!

2^x=4x apply log
xlog2=log 4x
xlog 2=log 4+log x
xlog 2-2log 2=log x
log 2 (x-2)=log x cancel log throughout
2(x-2)=x
2x-4=x
x=4 ,
hili swali lipo kama 3^x= 9x , jibu ni x=3.

hauwezi kuzimaliza log kizembe namna hiyo ndg.
 

unamaanisha kuwa huyo jama hawezi kosea kitu. We vip!
 

this sounds TRUE boss!
i was one of the best maths students some yrs back...nimefundishwa na Ugulumu pale Tosamaganga(Basic Maths and Add maths),then Mkwawa na Mtalamu Kavuraya na Mtaalam mmoja alikuwa Mwasomebody wakisaidiwa na Babu mmoja mmoja hivi...i was really good. nimecheck solution za Husninyo na mwenzake DASA zote sio justfiable, wanacheza faulo kwenye log principles kwa kuwa wanalijua jibu basi imekuwa shida. Namshauri DASA asiende kumdanganya mwanae kwa kuwa atakosa na maswali mengine kwa kumpandikizia principles ambazo ni fake.
 
unamaanisha kuwa huyo jama hawezi kosea kitu. We vip!

sio maana yangu ila nilitaka kukudhihilishia kuwa tumecheza nalo saana hususani na mkali wng.Kama nimekuudhi bwana MZEE nisamehe.ILA JIFUNZE KUWA NA APRECIATION NA WATU WALIOFANYA MAMBO YA KIPEKEE.
 
sio maana yangu ila nilitaka kukudhihilishia kuwa tumecheza nalo saana hususani na mkali wng.Kama nimekuudhi bwana MZEE nisamehe.ILA JIFUNZE KUWA NA APRECIATION NA WATU WALIOFANYA MAMBO YA KIPEKEE.

kaka ulianza vizur ila umevulunda mwishoni....kuhusu kukubali watu yah hiyo muhimu kwa wanaostahili na unaangalia alichokifanya kina impact gani kwa jamii,sasa mimi na akili zangu timamu siwezi kumkubali mtu kisa kapata maths A hata la 100% kwa sababu NECTA ni nothing wanachofanya ni kurudia maswali so mtu akikomaa na past papers anapga banda zuri tu,ila wewe endelea kumkubali kama ndio ideology yako hiyo.
 
Baada ya kupitia Uzi kurasa kwa ukurasa, post kwa post nimebaini kweli Hisabati ni janga la kitaifa. Ukweli ni kwamba hako kamlinganyo hakana analytical solution, hizo hesabu mbuzi zilizoletwa hapo juu are all FALSE. Njia pekee inayonijia kichwani ni kutumia numerical means kama Newton-Raphson au Newton-Gauss (maybe). By the way, Na mlinganyo unaonekana una multiple zeros.

NB: Google helps.
 

Tufanye umeshinda maana thread hii ilikuwa inatafuta jibu la hesabu ila wewe ni mkagua sentensi na umefanikiwa kupata ulichopata kwenye comment yangu nawe unastahili sifa YA MIPASHO ila jamaa sifa yake itabaki ni ya kujua HESABU sio tu kwa kupata marks niliyoitaja hapo juu.JAMAA NI SPECIAL CASE KWENYE MAMBO YA MATHs NA Sio mimi tu ninaetambua hivyo bali ni wengi wanaomjua ikiwemo rais wako.Kwa sasa anasoma huku anafundisha Hesabu kwenye chuo fulan cha Bussness alipewa mwaliko.
 

you real need to be a compaign manager maana unachokifanya humu sio kingne zaidi ya kusifia watu sifa za kijinga....kuhusu mchz mi cmjui ila kuhusu ualimu wapo wengi mfano mwalami na ametoa madogo kibao tu na hakuna mtu anae mpraise mwalami kama wewe unavyofanya kwa huyo mchz wako.Hizo za kishamba kaka wajanja hatunaga...
 

kuna theory inasema Ukimkimbiza chiz aliyechukua nguo zako wakati unaoga wewe ndo utakuwa chizi sasa ngoja nitumie uamuzi wa KUACHA KUMKIMBIZA CHIZ.Ila chukua angalizo hili."CHUNGA SANA MAANA WATU KAMA NYIE HUWA WANAISHIA KUWA WACHAWI kwa kukataa wenzao kuwa wapo juu.
 

aliye juu muumba tu binadamu huna guarantee ya kuwa juu hata kidogo....yani wewe unanikumbusha tajir mmoja ameshafarik alikuwa anajiita super hapa mjini ila siku ya kumuaga alikuwa amepoa...so u just play your part in your life and keep quiet with your achievements or losses.
 
Mada ya lugha ya sayansi hii, mambo ya "aliye juu muumba" weka pembeni kwanza.
 

Dada angu Husninyo , nadhani hapo kwenye red utakuwa umpitiwa , hauwezi kuzi ingiza hizi no (x-2) ndani ya log kienyeji hvyo ,
Nakumbuka hii hesabu ilituangaisha sana O-level , mwisho wa siku soln pekee kwa mwanafunzi wa O-level ni kuchora graph tu.
Log ina limitations zake katika kusolve matatizo , na mojawapo ni ili , its unsolvable kwa kutumia log concept ,
Ndo maana ukifika A-level unafundishwa other estimation techniques kama Newton Raphson na nyinginize
 
Dasa , kama mtoto wako ni mwanafunzi wa O-level ,mwambie hii ngoma haimuhusu , atapoteza muda wake tu kwa sasa
Sababu solution pekee kwake ni kuchora graph ambayo ni time consuming na mwisho wa siku asilitegemee Necta ,
sababu haliwahusu , sanasana atatiwa presha na walimu wa tutuion na vitabu vya nyangwine type !!!
 
Ndo maana ukifika A-level unafundishwa other estimation techniques kama Newton Raphson na nyinginize
Newton Raphson haiwezi kamwe kutoa jibu kwa sababu wewe mwenyewe umesema Newton Raphson ni makadirio tu, wakati hili swali lina jibu thabiti ambalo ni namba nzima, nne!
 
Newton Raphson haiwezi kamwe kutoa jibu kwa sababu wewe mwenyewe umesema Newton Raphson ni makadirio tu, wakati hili swali lina jibu thabiti ambalo ni namba nzima, nne!
Mbona hata graph ni estimation lakini inatoa jibu ?
 

jamani ni jambo jema kukubali kazi za watu kwa ufupi masela wameshuka vizuri sana na huyo TO atakuwa wamabox maana concept hapa ni

log a/log b is equal to log a base b na kama jamaa walivyo shuka ni very correct.
log 9/log 3 is equal to 2 and log 9 base 3 is equal to 2 hence solved!
big up hussinyo and the rest for good job
 

utumwa wa fikra mbaya sana, huyu jamaa na TO wake wanaonekana wamezaji 2 wa mambo.
 
Not all mathematics have a direct way of solving, that is why we have method of "solving by inspection." Just trust your mind that 4 is the answer and it's the only answer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…