Msaada wa haraka: Basi la kuelekea Singida

Msaada wa haraka: Basi la kuelekea Singida

Kuna mabasi mengi ya nauli hiyo, Capricorn nk

Zingatia usiende kujipa stress Kwenye mabasi ya ABC, maana watakuomba uongeze

Ila nawewe hebu ongezea kidogo nauli au Fanya hivi:
Dar-Dom..Elfu 15 (champion), Dom - Singida 7-10... Coaster ama basi ndogo ndogo

Safari njema!!
 
Aksanteni..nimedandia hapa lori la mafuta..linatereza kama kambare..toka dar..
 
Kama Dodoma ni 25000 or 28000 by shabiby au kimbinyiko Singida andaa 40 mpaka 45000
 
Back
Top Bottom