Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Bila shaka yupo njiani anaelekea huko maana kesho ya jana ni leoTafuta malori ya mizigo upande,utafika kwa bei hiyo haraka
Bila shaka yupo njiani anaelekea huko maana kesho ya jana ni leoTafuta malori ya mizigo upande,utafika kwa bei hiyo haraka
Tatizo hakuwa na nauli ya kutosha.ABC upper class, basi zuri na LA uhakika
ABC huwezi kupata kwa bei yako, hadi Ddm ndio elfu 20.Umemaliza mkuu.
Ndio ajiongeze...mm najua kwa pesa yake hawezi panda ABC kutoka dar-singida maybe dom,..ila nimemkot jamaa kumsapot kuwa hilo basi ni zuri.ABC huwezi kupata kwa bei yako, hadi Ddm ndio elfu 20.
Seems NOAH gani nzuri.... SGD-KBI basi LA nini!!!Basi gani nzuri la kwenda singida kiomboi