Naam...mi napenda sana bodi nzuri na iliyo imara na yenye definition za ukweli hususan kwa viumbe wa kiume. Yaani biceps ipo mahala pake, ina peak nzuri, triceps nazo zinaeleweka, lats za kufa mtu, traps zenye kuonekana vizuri hata ukivaa tisheti inakaa vizuri. Quads za ukweli hata uwe umepiga kaptula au suruali zinajaa vizuri. Forearms flexors na extensors zenye nguvu hata ukimpa mtu handshake anaisikilizia grip yako. Sio mwanaume uwe na grip ambayo haina tofauti na ya dadako...haifai kabisa hiyo.
You na'I mean?
WORD NDO MAANA NIKAFALL THE GUY YUPO VIZURI BWANA....YAANI MY HEART FULL KUVIBRATENaam...mi napenda sana bodi nzuri na iliyo imara na yenye definition za ukweli hususan kwa viumbe wa kiume. Yaani biceps ipo mahala pake, ina peak nzuri, triceps nazo zinaeleweka, lats za kufa mtu, traps zenye kuonekana vizuri hata ukivaa tisheti inakaa vizuri. Quads za ukweli hata uwe umepiga kaptula au suruali zinajaa vizuri. Forearms flexors na extensors zenye nguvu hata ukimpa mtu handshake anaisikilizia grip yako. Sio mwanaume uwe na grip ambayo haina tofauti na ya dadako...haifai kabisa hiyo.
You na'I mean?
ooh mama
u probably wanna see my abs
a lil task for u to find outWhatchu got on you? Washboard abs?
kwisha habari yangu au kwisha habari yake? Ni mzuri wewe yaani wewe cha mtoto!kidogo nitaanza kufaidi uumbaji wa mungu aisee...
Miss bantu mwenye tumbo .linanikeraje!
Miss bantu mwenye tumbo .linanikeraje!
mkuu weka hapa tufaidike wengiNione pm nikupe njia, hope utaipenda and dont cheat yourself!