Msaada wa gym

Msaada wa gym

tricecriss

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
225
Reaction score
59
Habarini zenu wana JF?
Jamani mimi tatizo langu ni kwamba najiona kama mambo kunako 6*6 yanaanza kunishinda kwa sababu ya uzito na nimekuwa tipwa tipwa sana kiasi cha kupoteza mvuto sasa nilikuwa maomba kama kuna mtu anafahamu gym yoyote iliyomaeneo ya sinza,kijitonyama au maeneo yote yanayonizunguka na gharama zake mimi naishi sinza white inn atakuwa amenisaidia sana,
natanguliza shukran
 
Gym peke yake hupungui!

Mi niko bed rest kitambo kidogo nimeumia mguu, nili gain sanaaa! Na hivi mwili wangu wa kurizika, nikajaa uso kama puto! Afu shemeji yako akija ananikuta na mdera, nywele sijachana, uso rafu rafu! Nikasikia kuta uwezekano upinzani kwenye jimbo langu jipya umejitokeza! Wakati mwenyewe bado nalilia timing hata sijalizindua!!!!!!!!!!!!

Chupi ilinibanajeee! Kunywa maji ya ndimu, asali na mdalasini kila siku asubuhi, punguza kula, na juice ya ukwaju, acha kula mastarch, na usiku usile kuanzia saa 11. Utapungua hadi utajipenda! You need motivation lakini!!!! Bila hivo utakata tamaa!

Mimi nimejipunguza in a month nikarudi kg za zamani, na kushuka zaidi, na hapa bado nashusha japo kivivu vivu!! Afu mgonjwa nafatiliwaje kama nimekula!

Maybe tuanze kiclub chetu cha kujipunguza!!!!!!!! Me i just need to get rid of 5kgs nifikie iddle wait nayoitaka!!!!!!!!!! Ila i need motivation! Niko hapa kukutia moyo!

Gym, knyama ilikuwaga pale oilcom juu sijui kama haijafungwa bado! But UDSM chuo pia kuna gym kama sio mbali na kwako!

Ukiwa interested niambie tuanze wote diet kesho!
 
Poa tuanze tu lara 1 maana nimeshanza kupokea complains mara" kipindi kile ilikuwa hivi lakini siku hizi mambo ndivyo sivyo"nahisi anashindwa tu kuniambia bibie punguza siku hizi performance yako level imeshuka sana.
 
we ni miss bantu?
 
Habarini zenu wana JF?
Jamani mimi tatizo langu ni kwamba najiona kama mambo kunako 6*6 yanaanza kunishinda kwa sababu ya uzito na nimekuwa tipwa tipwa sana kiasi cha kupoteza mvuto sasa nilikuwa maomba kama kuna mtu anafahamu gym yoyote iliyomaeneo ya sinza,kijitonyama au maeneo yote yanayonizunguka na gharama zake mimi naishi sinza white inn atakuwa amenisaidia sana,
natanguliza shukran

tafuta mkata maji akukaze nati zilizolegea.
 
Lara hayo maji ya moto?unachanganya vyote asali,ndimu na mdalasin?
 
last time i checked ilikuwa ni 50k...not sure of the price kwa sasa...

Hata mimi niliisikia hiyo ya k'nyama ila sikujua ipo upande gani na ni shilingi kwapi gharama zake.
 
last time i checked ilikuwa ni 50k per month...not sure of the price kwa sasa...

Hata mimi niliisikia hiyo ya k'nyama ila sikujua ipo upande gani na ni shilingi kwapi gharama zake.
 
Gym peke yake hupungui!

Mi niko bed rest kitambo kidogo nimeumia mguu, nili gain sanaaa! Na hivi mwili wangu wa kurizika, nikajaa uso kama puto! Afu shemeji yako akija ananikuta na mdera, nywele sijachana, uso rafu rafu! Nikasikia kuta uwezekano upinzani kwenye jimbo langu jipya umejitokeza! Wakati mwenyewe bado nalilia timing hata sijalizindua!!!!!!!!!!!!

Chupi ilinibanajeee! Kunywa maji ya ndimu, asali na mdalasini kila siku asubuhi, punguza kula, na juice ya ukwaju, acha kula mastarch, na usiku usile kuanzia saa 11. Utapungua hadi utajipenda! You need motivation lakini!!!! Bila hivo utakata tamaa!

Mimi nimejipunguza in a month nikarudi kg za zamani, na kushuka zaidi, na hapa bado nashusha japo kivivu vivu!! Afu mgonjwa nafatiliwaje kama nimekula!

Maybe tuanze kiclub chetu cha kujipunguza!!!!!!!! Me i just need to get rid of 5kgs nifikie iddle wait nayoitaka!!!!!!!!!! Ila i need motivation! Niko hapa kukutia moyo!

Gym, knyama ilikuwaga pale oilcom juu sijui kama haijafungwa bado! But UDSM chuo pia kuna gym kama sio mbali na kwako!

Ukiwa interested niambie tuanze wote diet kesho!

I want the diet ila sina motivation
 
Mimi ninachohisi kuhudu diet ni kwamba ukiwa na shughuli ya kufanya ambayo inakukeep busy inakuwa rahisi lakini kama umekaa tu unazungukwa na maakuli inakuwa ngumu kidogo.
 
Lara hayo maji ya moto?unachanganya vyote asali,ndimu na mdalasin?[/QUOTE
Ni kwamba unachukua maji ya moto unaweka mdalasin vijiko 2 vya chakula na asali unakunywa au unachulua maji ya moto unaweka asali vijiko 2 vya chakula na maji ya limao au ndimu vijiko 2 vya chai baada ya dk 5 unakunywa mchanganyiko huo.epuka kuuchemsha huo mchanganyiko.
 
Lara hayo maji ya moto?unachanganya vyote asali,ndimu na mdalasin?

Ni kwamba unachukua maji ya moto unaweka mdalasin vijiko 2 vya chakula na asali unakunywa au unachulua maji ya moto unaweka asali vijiko 2 vya chakula na maji ya limao au ndimu vijiko 2 vya chai baada ya dk 5 unakunywa mchanganyiko huo.epuka kuuchemsha huo mchanganyiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom