Msaada wa GPRS DONGLE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa GPRS DONGLE

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, Oct 10, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wakuu wa kaya habari za mida hii
  Nimejitahidi kugoogle lakini sikuelewa vizuri japokuwa nimeelewa kuwa hii gharama yake ni nafuu kuliko ile ya kutumia dish mbili kwa network ya ADSL.Naomba kwa aliye na uzoefu wa hii kitu anisaidie na itafanyaje kazi.
   
 2. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Unajua maana ya gprs dongle kwanza? Then elezea shida yako
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, hiyo ya dongle nimeisikia lakini bado sijapata maelezo yanayojitosheleza, wengi wanasema inafungua scramble channel vizuri, hivyo ungetoa uzoefu wako kidogo kuhusu hili na zinapopatikana.
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ni satelite receiver ambayo in Modem ndani yake Built in. zinashika DSTV nk.ndani yake unaweka line yeyote ya simu TIGO,VODA etc ila tu iwe na budle ya internet,ni kweli aitumii sana net,shg 500 unaweza tumia ata mwezi.ukishaifunga una nunua internet budle tu,inakamata scramble channels zaidi ya 200 kuzinunua check na website ya alibaba.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  inavoonekana kama unataka kufanya hacking flani lakini hujajielezea vizuri.

  Ninavyofahamu mimi 3g au gprs dongle ni kifaa cha nje kinachozipa network computer au tablets ambazo hazina uwezo wa 3g au gprs

  Mfano mzuri ni hizi tablet zinazotoka sasa zinakua hazina 3g bali wifi tu so unanunua 3g dongle then tablet yako inakua na 3g.

  Sasa sjajua wewe unataka
  1. Ununue hio 3g dongle ila hujui utaipata wapi tz
  2. Ufundishwe namna ya kuhack hilo dish kwa kutumia 3g dongle
  3. Unatafuta mtu ataekufanyia
   
 6. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilikua nataka ninunue dongle lakini kuna mtu kaniambia sasa hivi hazifanyi vizuri wamezishtukia. lina ukweli hili ili nisije ingia chaka
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  So mkuu wewe ulikua unataka kwa ajili ya kazi gan?
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  We have a new product That is GPRS dongle,Yor don't need to install 2 dish. if you have one SIM card,You can use it and our dongle to watch the pay TV( Multichoice DSTV, PSAT, CanalSAT, MyTV,HiTV, AI JazeeraSport,etc)


  [​IMG]
  Main features:

  ※Internet Key Sharing(IKS)through Cell Phone network
  ※Compatible work with all GPRS mobile system
  ※Used for Pay TV(MultichoiceDSTV, PSAT, CanalSAT, MyTV,HiTV, AI JazeeraSport,etc.)
  ※Plug and play SIM card support, phone@datatime,TV@nighttime
  ※Fast Key update and channel change speed
  ※Easy tool for APN(Access Point Name) setting and server setting through RS-232 port
  ※Stronger service compare with SKS dongle ( No risk of signal block)
  &#8251;Lower cost compare with Ethernet IKS service (No need ADSL, monthly data flew<25MB)


  [​IMG]
  [​IMG]
  How to work for the GPRS dongle:


  [​IMG]
   
 9. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Asante mkuu kwa kunielewesha hata mimi nilikuwa nimepitia tovuti hiyohiyo halafu pia gharama yake ni ndogo sana,tatizo ni upatikanaji wake.
   
 10. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Kuchakachua pay tv kama dstv mytv
   
 11. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  inauzwa 150000
  dstv
  mytv
  canali
  inachakachuwa
   
 12. M

  Mliga Senior Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimekukubali, maana ile dongle ya kawaida ya madishi mawili imentoa jasho la ulimi. ila hii ya modem namna ya kuipata kwa hapa bongo ndo ishu maana bei sio mbaya!
   
 13. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Inapatikanaje mkuu
   
 14. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu upatikanaji ni sawa na hiyo ya kwanza ulipoipata nenda utapata
   
 15. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sawa na yadishi 2
   
 16. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Muhuri wa ikulu nitaupataje wakuu ?
   
 17. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,637
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Una hela??? siitaji tsh nahitaji pesa ya hapo jirani ziwa Tanganyika.
   
Loading...