Msaada wa fundi ipod imeingia maji

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari wadau, Ipod yangu ilidondoka kwenye maji na sasa haiwaki. Je! wapi naweza kupata fundi mzuri wa kuitengeneza
 
Mi yangu ki sehemu cha kucharge kimezingua sijui mafundi wazuri wanapatikana wapi tusaidiane jamani
 
mkuu hiyo ipod yako ingiza kwenye debe la mchele dry kwa siku nzima mana mchele huvuta maji nshawai kujaribu hio njia inaitwa rice trick
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…