Msaada wa frequence za channel ya agape (atn) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa frequence za channel ya agape (atn)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by deecharity, Oct 18, 2011.

 1. d

  deecharity JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Wakuu kwa muda kama wa week mbili sasa sipati channel ya agape kwangu kama wemebadirisha frequence naomba msaada kwa aliye nazo.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  nunua ting, yule ni mexicana ati!
   
 3. d

  deecharity JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  huku niliko ting haijafika na atn nilikua naipata kwny hz dsh zakawaida
   
 4. m

  mhondo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kuna wakati walitangaza kwamba watakuwa hawaonekani kwenye receiver za MPEG-2 ambazo wengi wetu tunatumia, kwa mtazamo wangu, na kuhamia kwenye MPEG-4. Na mimi siku hizi siioni nafikiri ndiyo tayari wameshahama kwahiyo ukiitaka kupitia satelite receiver badilisha uliyonayo. Kama kuna jingine tofauti na hilo tutaelezwa na wadau wengine. Na mimi sijui tofauti ya hizo MPEG-2 na MPEG-4.
   
 5. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hawa ting wameshahama hiyo satellite sasa wanapatikana kwenye sat w4 inakopatikana dstv ila kama uko mikoani unatakiwa kuwa na ungo wa ku band na mpeg4 receiver.ukinunua kwao watakupa receiver Model AAL-003.tp zake ni 12284 h 27500
   
 6. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mi nina strong MPEG4 HD imepoteya sigino ipo yakutosha kunajama zangu kama wa 4 naozimekata au inahitaji decod zao tuu kwasasa? musada
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hizi receiver za kichina nasikia ni fake. Hazishiki channel za mpeg 4. Sijajua ukweli wake. wataalamu njoni na hoja
   
 8. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ni kweli hata mimi nilikuwa naipata kwa kutumia Reciever ya WIZ-TECH ya MPEG 4 HD kwenye satelite ya Eutelsat W4 deg 36E lakini siku hizi haionekani.
   
Loading...