kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,514
- 7,909
PoaNaweka mkuuu
PoaNaweka mkuuu
Speed yake hii hapaa natest tuu.Hapana mkuu naomba ujaribu kudownload firmwares from sammobile kwa regular via idm yako nione hyo speed unayopata..uweke picha hapa ya speed mkuu
Mi wanabana hadi leo pamoja nakua na idm
Pole sana mkuu. Mie hapo speed ndogo.ikikaa vzr inapiga mpaka 999kbs na kuendelea.nikitumia wifi ndio kabisa dk sifuri tu nishamaliza downloadMi wanabana hadi leo pamoja nakua na idm