Msaada wa fasta ndugu zangu

Msaada wa fasta ndugu zangu

Kwan ungeomba msaada kwa ndugu na jamaa wa karibu ambao wanaona kabisa umeibiwa huoni kama wangekupa bure kabisaa badala ya mkopo wa 10k. Au kama vipi kopa songesha au nivushe.
Kama huko kote huwez bas maana yake wewe huna vigezo vya kukopa
 
Wakituma wana jf 10 tu mwamba ana laki na hatarudisha hizo 90 kweli maisha akili. Simply means wanajf 20 wakimpa kumi atalazimika kurudisha Kwa Kila mmoja 10 je huu sio utapeli? Yani jioni ya Leo urudishe twice ya ulichokopa mh ....
 
Back
Top Bottom